STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 11 Agosti 2014

RASMI, MANGALA NI MCHEZAJI WA MANCHESTER CITY, AKAMILISHA KILA KITU


Kimeeleweka: Eliaquim Mangala amesaini Manchester City akitokea Porto kwa Pauni Milioni 32
 
KLABU ya Manchester City imethibitisha kukamilisha usajili wa Eliaquim Mangala kutoka Porto, na mchezaji huyo amesema anataka kushinda mataji na mabingwa hao wa England.
Man City ambayo inakamilisha usajili wa mchezaji huyo siku moja baada ya kufungwa na Arsenal mabao 3-0 katika mechi ya Ngao ya Jamii, inaaminika wamelipa Pauni Milioni 32 kumpata mchezaji huyo. 
Beki huyo wa kati atavaa jezi namba 20 Uwanja wa Etihad, na pia amesema kusajiliwa kwa mchezaji mwenzake wa Porto, Fernando Man City kumesaidia.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox