STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 7 Septemba 2014

ARTURO VIDAL ACHARUKA NA KUWAJIA JUU WANAOZUSHA AMEUMIA GOTI TENA

Fully fit: Juventus midfielder Arturo Vidal has hit back at reports suggesting he was injured
  Kiungo wa Juventus, Arturo Vidal amekunusha ripoti zinazodai ameumia tena.

KIUNGO wa Juventus,  Arturo Vidal amejibu mapigo kuhusu taarifa za kupata majeruhi tena kwenye goti lake akiwa katika majukumu ya kimataifa na Chile.
Ripoti zilieleza kuwa Vidal, ambaye alihusishwa kujiunga na Manchester United majira ya kiangazi mwaka huu, aliondoka mazoezini mjini Miami baada ya kuumia goti kwa mara nyingine.
Hata hivyo, Vidal kupitia akaunti yake ya Twita amekanusha taarifa hizi akisema alikuwepo muda wote katika mazoezi ya timu hiyo.
Wanted man: The Chile midfielder was linked with a move to Manchester United during the summer
Mtu aliyewindwa: Kiungo wa Chile alihusishwa kujiunga na Manchester United wakati wa dirisha la usajili majira ya kiangazi.

"Goti langu liko sawa," Vidal aliandika katika akaunti yake ya mtandao wa kijamii. "Tafadhali acheni kuzusha taarifa. Njooni Chile".
Nyota huyo mwenye miaka 27 alifanyiwa upasuaji wa goti mwishoni mwa msimu uliopita na alionekana kutokuwa fiti sana katika fainali za kombe la dunia.
Majeruhi imemuathiri Vidal katika haraka zake za kujijenga kuwa miongoni mwa viungo bora wa dunia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox