STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 9 Septemba 2014

ENGLAND YATOA MKOSI WA KOMBE LA DUNIA, YAITANDIKA USWIZI 2-0 KUFUZU EURO 2016, WELBECK NI NOMA...

Double trouble: Danny Welbeck slots home his, and England's, second goal as they saw off Switzerland
  Danny Welbeck akiifungia England bao la pili.

ROY HODGSON ameiongoza England kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Uswizi katika mechi ya kwanza ya kuwania kufuzu fainali za Euro 2016.
Ikitumia mfumo wa 4-4-2, England ilijitahidi kuonesha soka safi na kushinda mechi ambayo pengine ilikuwa ngumu zaidi kwake katika kampeni za kufuzu fainai za mataifa ya Ulaya.
Mshambuliaji mpya wa Arsenal aliyesajiliwa kutoka Manachester United, Danny Welbeck alifunga yote mabao mawili katika mechi hiyo.
Welbeck alifunga bao la kwanza dakika ya 59 na bao la pili alifunga dakika ya 90 na kuizamisha Uswizi inayochipukia kwa kasi katika soka la Ulaya.
Twice as good: Welbeck kept his composure to ensure England got off to a winning start in Basle
Alipiga vidude viwili: Welbeck akifunga bao mjini Basle
Main man: Welbeck, fresh from his £16million move to Arsenal, showed his prowess in front of goal
Mtu muhimu: Welbeck, akitokea kusajili kwa paundi milioni 16 na kujiunga na Arsenal alifanya kazi nzuri.

Kikosi cha Switzerland (4-3-2-1): Sommer 5.5, Lichsteiner 6.5, Djourou 6, von Bergen 5.5, Rodriguez 6, Behrami, 6.5, Inler 7, Mehmedi 6 (Drmic, 63), Xhaka 7 (Dzemaili 74, 5.5), Shaqiri 8, Seferovic 7 
Wachezaji wa akiba ambao hawkautumika: Hitz, Benito, Senderos, Widmer, Frei, Stocker, Fernandes, Kasami, Schar, Burki.

Kikosi cha England (4-4-2): Hart 7, Stones 6, Cahill 7, Jones 6 (Jagielka 77), Baines 6.5, Wilshere 6 (Milner 73, 6), Henderson 6, Delph 6.5, Sterling 6.5, Welbeck 8, Rooney 6.5 (Lambert 90). 
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Forster, Rose, Chambers, Oxlade-Chamberlain, Townsend. 
Mfungaji wa magoli: Welbeck 59, 90 
Kadi ya njano: Delph, Lambert
Mwamuzi: Cuneyt Cakir 6
Watazamaji: 35,500 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox