STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 5 Septemba 2014

LIVERPOOL YAONJA LADHA YA UTUKUTU WA MARIO BALOTELLI , AZINGUA MECHI YA KIRAFIKI TU BADO EPL

Trouble: Liverpool forward Mario Balotelli talks with referee Chris Foy during a friendly with Wolves
  Mshambuliaji wa Liverpool, Mario Balotelli akijibizana na mwamuzi Chris Foy 
MSHAMBULAIJI wa Liverpool ,  Mario Balotelli alitolewa uwanjani katika mechi ya kirafiki dhidi ya Wolves baada ya kurushiana maneno na mwamuzi Chris Foy.
Katika mechi hiyo, Liverpool walishinda bao 1-0.
Nyota huyo mwenye miaka 24 aliyejiunga Anfield akitokea AC Milan kwa dau la paundi milioni 16 mwezi uliopita, alionekana kutulizwa na Kolo Toure wakati Foy akijaribu kujibizana naye katika dimba la Melwood.
Inafahamika kuwa Muitaliano huyo alikuwa anachuana katika mpira wa 50-50 na mchezaji wa Wolves.
Hakuna kilichotokeo baada ya tukio lile zaidi ya Balotelli kutolewa nje na nafasi yake kuchukuliwa na mchezaji mwingine.
Not happy: Kolo Toure (left) holds Balotelli back after the Italian was involved in a robust 50-50 challenge
Hakuna furaha: Kolo Toure (kushoto) akimshika Balotelli 
You're off! Balotelli walks towards the touchline after being immediately substituted following the incident
Unakwenda benchi! Balotelli akienda benchi dakika chache baada ya tukio hilo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox