STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 5 Septemba 2014

PIGO CHELSEA; DIEGO COSTA AUMIA TENA NYAMA NA KUTEMWA KIKOSI CHA HISPANIA

  Diego Costa ameondolewa kikosi cha Hispania baada ya kuumia nyama
 
MSHAMBULIAJI wa Chelsea, Diego Costa ameondolewa kwenye kikosi cha Hispania kitakachocheza mechi ya kuwania kufuzu kwenye fainali za Euro dhidi ya Macedonia kutokana na maumivu ya nyama za paja. 

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alisumbuliwa na matatizo kama hayo kwa miezi minne iliyopita na alilazimika kutolewa kwenye kikosi cha Hispania kilichofungwa 1-0 na Ufaransa katika mchezo wa kirafiki jana baada ya kuhisi maumivu.
Munir El Haddadi, mchezaji mwenye thamani kubwa wa Barcelona, ataziba pengo la Costa katika mchezo huo utakaofanyika Jumatatu mjini Valencia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox