STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 5 Septemba 2014

PEREZ AJIBU MAPIGO YA CRISTIANO RONALDO, ASISITIZA REAL MADRID ILIKUWA SAHIHI KUMUUZA ANGEL DI MARIA

Pals: Real Madrid president Florentino Perez has defended his transfers after Cristiano Ronaldo's comments
  Rais wa Real Madrid, Florentino Perez ameitete sera ya usajili ya kalbu hiyo baada ya maoni ya Cristiano Ronaldo

RAIS wa Real Madrid, Florentino Perez ameitetea sera ya klabu yake ya usajili baada ya  Cristiano Ronaldo kufunguka ya moyoni akipinga kuuzwa kwa  Angel di Maria katika klabu ya Manchester United kwa dau la paundi milioni 60.
Mabingwa hao wa Ulaya pia walimuuza kiungo wa kimataifa wa Hispania Xabi Alonso katika klabu ya Bayern Munich kwa dau la paundi milioni 5, kitu ambacho kimemvunja moyo Ronaldo ambaye aliponda waziwazi maamuzi ya Perez.
Lakini Perez alisisitiza kuwa hakuna tatizo akisema: "Namjua vizuri Cristiano Ronaldo. Cristiano ni mchezaji bora wa dunia na mapenzi yake kwa Madrid yanajulikana".
Separated: Ronaldo and Angel di Maria embrace during their time at the Bernabeu before the latter's move
Wametengana: Ronaldo na Angel di Maria walionesha ushirikiano mkubwa Bernabeu kabla ya mmoja kuondoka
Done deal: The European champions got rid of Di Maria as United broke the British transfer record
Dili lilikamilika: Mabingwa wa Ulaya, Real Madrid walimuuza Di Maria kwa Mancester United na kuvunja rekodi ya usajili nchini England.
"Nimesikiliza maoni aliyosema Ronaldo na kama ninavyomjua, kamwe haiulizi klabu. Uhusiano wangu na yeye uko kamili, hakuna tatizo lolote. Cristiano ndiye mchezaji bora wa dunia, hilo liko wazi"

        RONALDO ALISEMA NINI? 

‘Kama ningekuwa madarakani, labda ningekuwa nimefanya mambo tofauti,' Ronaldo alisema kuhusu usajili wa majira ya kiangazi wa Real Madrid.
"Nina maoni ya wazi kabisa, lakini siku zote siwezi kusema kila ninachowaza"
Perez aliweka wazi kuwa Real Madrid haikuwa na jinsi zaidi ya kumuuza Di Maria kufuatia kugoma kuongeza mkataba ambao ungemfanya awe mchezaji wa pili kwa kulipwa vizuri katika klabu.
"Nimekuwepo hapa tangu mwaka 2000", Perez aliendelea."Tangu hapo wachezaji wengi wamekuja na kuondoka na uzoefu wangu unaniambia kwamba wachezaji wengi wanaoondoka wanakuwa bora zaidi na wanaokuja wanazua maswali"
"Usajili wangu wa kwanza ulikuwa (Zinedine) Zidane na wa mwisho (kabla ya dirisha la majira ya kiangazi) alikuwa (Gareth) Bale. Na tulitoa ofa nzuri kwa Di Maria na alikataa".

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox