STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 16 Oktoba 2014

MASHABIKI ENGLAND WAZIDI KUMSHAMBULIA STERLING, KISA KUENDESHA GARI MWENYEWE


Mshambuliaji wa Liverpool, Raheem Sterling ameendelea kushambuliwa kutokana na kitendo chake chake cha kusema amechoka kuichezea England katika mechi yake ya kimataifa.

Kilichowaudhi zaidi mashabiki ni kumuona akiendesha gari mwenyewe kwenda mazoezini Liverpool.
Mashabiki hao walianza kumshambulia kwenye mtandao wa Twitter wakidai alidanganya.
Wengi wamekuwa wakisema kitendo chake cha kudai amechoka ni kuonyesha kiasi gani si mzalendo.
Wako baadhi wamekuwa wakiponda uamuzi huo na kudai umetoakana kutokuwa na asili ya England kwa asilimia mia. Mshambuliaji huyo ana asili ya Jamaica.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox