STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 17 Oktoba 2014

STRAIKA AJIVUTA SHATI NDANI YA 18, ATAKA PENALTI, ADHABU KALI YANUKIA

 Mshambuliaji wa zamani wa Tottenham ya England ambaye sasa anakipiga Santos ya Brazil amejikuta akiingia matatani baada ya kujivuta jezi na kuanguka.

Leandro Damiao alijivuta jezi na kuanguka wakati akiichezea Santos katika Ligi ya Brazil.
Damiao alifanya hivyo akiwa katika harakati za kumshawishi mwamuzi.
Hata hivyo mwamuzi huyo alishitukia mchezo, hakutoa adhabu hiyo ya penati.
Tayari Shirikisho la Soka la Brazil (CBF) liko katika hatua za kumchukulia hatua na imeelezwa adhabu yake huenda ikawa ni kufungiwa kucheza mechi sita za ligi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox