STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 5 Desemba 2014

LIVERPOOL KUANZA UPANUZI WA ANFIELD.

KLABU ya Liverpool sasa imethibitisha kuwa ujenzi unaweza kuanza Jumatatu ijayo kupanua Uwanja wa Anfield mpaka kufikia uwezo wa kuingiza mashabiki 53,500. Kampuni ya Michezo ya Fenway tayari imeshaandaa mpango huo ambao utagharimu kiasi cha paundi milioni 114. Uwanja huo ambao kwasasa una uwezo wa kuingiza mashabiki 45,000 unatarajiwa kuongezwa viti vingine 8,500 katika eneo la jukwaa kuu. Mpango huo ambao umekuwa ukipangwa kwa kipindi cha miaka, unatarajiwa kukamilika mwanzoni mwa msimu wa mwaka 2016-2017.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox