STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 6 Desemba 2014

SHEREHE, DORTMUND YAJINASUA KILELENI KWA USHINDI MWEMBAMBA DHIDI YA HOFFENHEIM


Borussia Dortmund imeondoka mkiani baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Hoffenheim.
Huo ni ushindi wa pili kati ya mechi 11 kwa Borussia Dortmund, hali iliyokuwa imeongeza presha kubwa kwa kikosi hiyo.

Ushindi wa jana ulikuwa muhimu kuamsha upya morali na Kocha Jurgen Kloop na wachezaji wake walishangilia kwa nguvu sana.

Borussia Dortmund: Langerak; Piszczek, Subotic, Hummels, Schmelzer; Bender, Kehl; Aubameyang (Immobile 92), Gundogan (Ginter 91), Mkhitaryan; Ramos (Grosskreutz 83).
Subs not used: Weidenfeller, Kagawa, Sahin, Durm.
Goals: Gundogan 17
Hoffenheim: Baumann; Beck, Sule, Bicakcic, Kim; Polanski, Schwegler (Salihovic 78); Firmino, Rudy (Elyounoussi 78), Volland; Schipplock (Modeste 45).
Subs not used: Grahl, Abraham, Storbl, Zuber.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox