STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 22 Aprili 2015

UNAJUA KWANINI NGASSA ALISHANGILIA KWA KUBUSU MKONO WAKE JANA? JIBU LIPO HAPA

YANGA SC imeshinda magoli 3-2 dhidi ya Stand United katika mechi ya ligi kuu iliyopigwa jana uwanja wa Taifa, Dar es salaam.
Magoli ya Yanga yalifungwa na Amissi Tambwe, Mrisho Ngassa na Saimon Msuva kwa mkwaju wa penalti.
Baada ya kufunga goli lake, Mrisho Ngassa hakushangilia kwa kawaida yake ya kwenda kwenye kona ya kibendera, bali alionekana akibusu mkono wake.
 
ALIPOULIZWA KWANINI ALIFANYA HIVYO, NGASA AKAFUNGUKA

"Nimebusu mkono kwasabababu nimemchora 'Tattoo' mke wangu, mke wangu ndio kila kitu, ndio mshauri wangu wa kila kitu, kwahiyo nikifunga goli lazima nimbusu"
Tattoo niliyochora ni jina la mke wangu kwasababu nina mapenzo ya dhati kwake, yeye ndiye mshauri wangu, anaitwa Nish Radhia"
"Kuna tattoo nyingine ambayo ni siri yangu pamoja na yeye, imechorwa kifuani"
TATTOO YENYEWE HII HAPA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox