STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 31 Mei 2015

BARCELONA YAWATUMIA SALAMU JUVENTUS KWA KUBEBA KOMBE LA MFALME


Barcelona imetwaa taji la pili msimu huu, baada ya usiku wa jana kuitandika  Athletic Bilbao mabao 3-1 katika fainali ya Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey Uwanja wa Nou Camp.
Lionel Messi aliifungia Barcelona goli  la kwanza dakika ya 20, kabla ya Mbrazil Neymar kufunga la pili dakika ya 36.
Nyota wa Argentina, Messi akakamilisha ushindi mnono wa Barca ambao tayari wana taji la La Liga kwa bao zuri dakika ya 74, wakati bao la kufutia machozi la Bilbao lilifungwa na Williams dakika ya 79.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox