STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 30 Mei 2015

TEGETE NA NIZAR KHALFAN WAPATA TIMU BAADA YA KUTEMWA JANGWANI

MSHAMBULIAJI Jeryson Tegete na kiungo Nizar Khalfan wamesajiliwa na timu mpya iliyopanda ligi kuu soka Tanzania bara  msimu ujao, Mwadui fc.
Kocha mkuu wa Mwadui, Jamhuri Musa Kihwelo 'Julio' amethibitisha kuwasajili wachezaji hao waliotemwa na Yanga na kila mmoja amesaini mkataba wa mwaka mmoja.
Julio amesema bado anaendelea kufanya mazungumzo na wachezaji wengi wenye uzoefu ili ligi ikianza kikosi chake kiwe na makali ya kutisha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox