STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 23 Juni 2015

HENRY AMWAGIA SIFA KIBAO OZIL.

NGULI wa zamani wa soka wa kimataifa wa Ufaransa, Thierry Henry amemmwagia sifa Mesut Ozil akidai kuwa ni vigumu kumzuia wakati akiwa katika kiwango chake cha juu. 

Nyota huyo wa kimataifa wa Ujerumani amekuwa sehemu muhimu ya kikosi cha Arsenal kilichonyakuwa taji la FA akiwa amefunga mabao matano na kutengeneza mengine tisa katika msimu wake wa pili akiwa na klabu hiyo. 

Henry ambaye anamhusudu kwa kiasi kikubwa Ozil, amesema uwepo wake katika kikosi cha Arsenal kinaifanya timu hiyo kuimarika zaidi. 

Henry amesema Ozil ni mchezaji mkubwa kila mtu anafahamu hilo na anafahamu kitu gani huwa anafanya katika mechi ambapo pindi anapokuwa katika ubora wake huwa ni vigumu sana kumzuia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox