STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 23 Juni 2015

WAKALA WA CAVANI AISHUSHUA MILAN ADAI HAWANA MKWANJA WA KUMSAJILI MTEJA WAKE.

WAKALA wa Edinsoni Cavani amepuuza tetesi zinazomhusisha mteja wake kutoka klabu ya Paris Saint-Germain na kuhamia AC Milan, akidai kuwa klabu hiyo haina nguvu ya kifedha ya kumsajili mteja wake. 

Cavani ambaye amefunga mabao 31 katika mechi 52 za mashindano yote alizocheza msimu uliopita, ameisaidia PSG kunyakuwa taji la tatu mfululizo la Ligue 1 pamoja na kushinda mataji mengine mataji nchini Ufaransa. 

Pamoja na mafanikio hayo Cavani ambaye alijiunga na PSG akitokea Napoli kiangazi mwaka 2013, bado amekuwa akihusishwa na tetesi za kurejea tena Italia. 

Lakini tetesi hizo zimekanushwa vikali na wakala wake Claudio Anellucci ambaye amedai haoni klabu yeyote ya Italia yenye uwezo wa kifedha wa kumsajili mteja wake huyo. 

Milan iko katika mipango kabambe ya kusuka upya kikosi chake tayari kea ajili ya msimu ujao baada ya kumaliza katika nafasi ya 10 katika Serie A msimu uliopita.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox