STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 24 Juni 2015

RASMI FIRMINHO ASAJILIWA NA LIVERPOOL

           RASMI FIRMINHO ASAJILIWA NA LIVERPOOL






Liverpool imethibitisha kumsajili  mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil Roberto Firmino.
Mchezaji huyo anaekipiga kunako klabu ya  Hoffenheim inayocheza ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga alikuwa katika rada za Manchester United kabla ya kunyakuliwa na Liverpool.

Firmino amecheza takribani michezo 151 kwenye klabu yake na kufanikiwa kufunga magoli 47 huku kwenye timu yake ya taifa akicheza michezo tisa na kufunga magoli  manne anasubiriwa kumaliza michezo ya timu yake ya taifa kisha akapime vipimo vya afya Liverpool.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox