STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 1 Julai 2015

BAADHI YA TWEETS ZA MAGWIJI WA SOKA BAADA YA LIVERPOOL KUMSAJILI NATHANIEL CLYNE

BAADHI YA  TWEETS ZA MAGWIJI WA SOKA BAADA YA LIVERPOOL KUMSAJILI NATHANIEL CLYNE


Dirisha la usajli wa majira ya kiangazi limefunguliwa rasmi leo na Liverpool wamethibitisha usajili wao wa sita kwa kumsainisha Nathaniel Clyne kutoka Southampton.
Japokuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la wachezaji wanaojiunga na timu hiyo lakini bado Liverpool wamesajili  Clyne kutoka St Mary.
Inakadiriwa kuwa amesajiliwa kwa kiasi kinachofikia pauni milioni 12, Liverpool wamemchukua mlinzi huyo wa kulia wa ubora wa hali ya juu.
Ujio wa Clyne unafungua mlango wa kuondokea kwa Glen Johnson na inaamika Clyne atakuwa ni chaguo la kwanza akiwa Anfield.
Kwa misimu kadhaa iliyopita Clyne amethibitisha kuwa yeye ni moja kati ya walinzi bora wa kulia kwenye ligi kuu England.
Usajili wake umegusa hisia za wadau mbalimbali wa soka na wameonesha hisia zao kwenye mitandao ya kijamii kwa kuonesha kuunga mkono usajili huo.
Magwiji wengi wameposti kwenye account zao za tweeter wakionesha jinsi gani wamevutiwa na usajili wa beki huyo.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox