STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 1 Julai 2015

LEICESTER CITY YAMTIMUA NIGEL PEARSON

    LEICESTER CITY YAMTIMUA NIGEL PEARSON


Kocha mkuu wa Leicester, Nigel Pearson ametimuliwa kazi jana usiku baada ya kutofautiana na mmiliki wa klabu hiyo.

Wajumbe wa kikosi hicho wanaamini mahusiano hayo yamevunjika kutokana na mtoto wake Pearson,  James kuvunjiwa mkataba katika klabu hiyo kwasababu za kibaguzi wakati wakiwa kwenye ziara ya nia njema huko Mashariki ya Mbali.

Pearson aliiokoa Leicester kushuka daraja msimu uliopita na alitajwa kuwa kocha bora wa mwezi Aprili.

Timu yake ilikaa siku 140 mkiani mwa msimamo wa ligi, lakini ilishinda mechi saba kati ya tisa za mwisho na kumaliza nafasi ya 14 kati ya timu 20

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox