STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 18 Julai 2015

HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA ARSENAL


Mkurugenzi mkuu wa Arsenal Ivan Gazidis amekiri kuwa kocha wa klabu hiyo Arsene Wenger ataendea kuwa klabuni hapo kwa miaka mingi ijayo huku akijiandaa kufikisha msimu wake wa 20 akiifundisha klabu hiyo.

Kubeba kombe la FA mara mbili mfululizo na kuwasajili Mesut Ozil na Alexis Sanchez kwa vipindi viwili tofauti vimesaidia kwa kiasi kikubwa kunyamazisha kelele zilizokuwa zikimuandama mara kwa mara.

Ujio wa Petr Cech klabuni hapo tena umezidi kuwapa hamasa mashabiki wa klabu hiyo kuelekea msimu mpya na Gazidis amekiri kuwa hawezi kusema ni lini Mfaransa huyo ataondoka klabuni hapo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox