STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 18 Julai 2015

MASHABAKI WA BARCELONA WACHUKIZWA NA ISHU YA NEYMAR NA MESSI


Mashabiki wa Barcelona wa America kaskazini wame-maindi kinoma baada ya kugundua kwamba nyota wakubwa wa klabu hiyo hawamo katika ziara ya Marekani itayoanza wiki ijayo.

Barcelona wametaja kikosi cha wanandinga 24 wataokwenda ziara ya Marekani itayoanza Julai 19-29 mwaka huu, lakini nyota wake wawili, Lionel Messi na Neymar wameachwa kwasababu kocha mkuu, Luis Enrique amewaongezea siku katika likizo yao.

Messi na Neymar walishiriki  michuano ya Copa America iliyomalizika siku za karibuni kwa Chile kuibuka Machampion.
Lakini sio wao tu, wachezaji wote waliocheza Copa America kama vile Claudio Bravo, Javi Mascherano na Dani Alves  pia wameondolewa katika ziara hiyo ya Marekani.

HIKI NDICHO KIKOSI CHA BARCELONA CHA WACHEZAJI 24 WANAOKWENDA ZIARA YA MAREKANI


Ter Stegen, Masip, José Suárez, Piqué, Rakitic, Sergio, Pedro, Iniesta, Suárez, Rafinha, Bartra, Douglas, Jordi Alba, S. Roberto, Adriano, Vermaelen, Mathieu, Arda Turan, Aleix Vidal, Sandro, Munir, Halilovic, Samper, Gumbau

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox