STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 25 Julai 2015

KPAH SHERMAN ANAKWENDA AFRIKA KUSINI KUFANYA VIPIMO VYA AFYA...



MSHAMBULIAJI Mliberia wa Yanga SC, Kpah Sean Sherman anatarajiwa kuondoka Dar es Salaam Jumatatu kwenda Johannesburg, Afrika Kusini kufanya vipimo vya afya kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Mpumalanga Black Aces ya Ligi Kuu ya nchi hiyo.

Sherman aliyejiunga na Yanga SC Desemba mwaka jana, amepata nafasi ya kujiunga na timu hiyo na klabu yake imeridhia aende, baada ya kuleta mshambuliaji mpya, Donald Ngoma kutoka Zimbabwe. 

Sherman aliyetokea klabu ya Ligi Kuu ya Cyprus Kaskazini, Cetinkaya FC, ambayo alikuwa anaichezea kwa mkopo kutoka Aries FC ya kwao Liberia hadi sasa ameichezea Yanga SC mechi 27 na kuifungia mabao sita tu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox