STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 20 Julai 2015

WAYNE ROONEY KUVAA JEZI ZA EVERTON TENA

Wayne Rooney ambae alitokea klabu ya Everton na kuhamia Manchester united kwa mara nyingine tena anatarajiwa kuvaa jezi ya Everton baada ya muda mrefu. 
Ikumbukwe kwamba baada ya kufanya vizuri kwenye uwanja wa Goodison Park Sir Alex alimsajili na kujiunga na mashetani wekundu.
Sasa kwenye kusherekea farewell ya mchezaji Gwiji,  Duncan Ferguson ambae aliwahi kucheza na Rooney ndani ya Liverpool, Rooney atavaa jezi ya Everton kwa ajili ya kucheza mechi ya mwanasoka huyo nguli.
Kwenye mechi hiyo ambayo itachezwa mwezi ujao dhidi ya Villareal, Rooney anasema 
“Siwezi kufikiria jinsi gani ya kumshukuru Dunc kwa kile ambacho amenifanyia. Kama mchezaji mdogo nilikuwa nakua kwa uangalizi wake na kumuona kama mfano kwangu”2AB354F200000578-0-image-a-1_1437408233567
2AB3551E00000578-0-image-m-4_1437408254974

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox