STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 18 Julai 2015

XAVI ANENA SAKATA LA IKER CASILLAS

Nguli wa Barcelona Xavi amesema kuwa walichokifanya Real Madrid dhidi Iker Casillas sio jambo jema hata kidogo, na kwake ni kama vile amekula kitu chenye ladha mbaya.

Mlinda mlango huyo ambaye ameshinda kombe la La Liga mara tano na Ligi ya Mbingwa mara 3 kwa miaka 25 aliyodumu klabuni hapo, ambapo alianza akiwa na miaka 9, alikuwa amekaa peke yake wakati akiwaaga mashabiki rasmi kuondoka klabuni hapo.

Xavi amesema kitendo hichi ni cha maudhi na kuhuzunisha pia.



"Inaacha ladha mbaya sana mdomoni", Xavi aliiambia RAC1. "Nimeandika barua ya nikielezea maoni yangu. Hakustahili uagaji wa kipuuzi kama ule; alistahili zaidi ya pale.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox