STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 16 Agosti 2015

ARSENAL YAANZA LIGI, YAIFUNGA CRYSTAL PALACE 2-1




Arsenal imeamka baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Crystal Palace.

Arsenal ikitumia mfumo wa 4-2-3-1 ilifanikiwa kuisambaratisha Palace ikiwa nyumbani, Olviere Giroud akianza kufunga bao katika dakika ya  16.


Lakini dakika saba baadaye wenyeji wakasawazisha kabla ya beki wa Palace kujifunga na kuandika bao la pili wakati akitaka kuokoa mkwaju wa Alexis Sanchez.
(4-2-3-1): McCarthy; Ward, Dann, Delaney, Souare; Cabaye, McArthur (Bamford 80mins); Zaha (Chung-Yong 76), Puncheon, Bolasie (Mutch 46); Wickham
Subs not used: Hennessey, Mariappa, Jedinak, Murray
Goal: Ward 28
Booked: McArthur 
ARSENAL (4-2-3-1): Cech; Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal; Coquelin (Oxlade-Chamberlain 64), Ramsey; Sanchez (Arteta 75), Ozil (Gibbs 83), Cazorla; Giroud
Subs not used: Ospina, Debuchy, Gabriel, Walcott
Goal: Giroud 16, Delaney OG 55 
Booked: Coquelin
Referee: Lee Mason
Attendance: 24,732











Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox