STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 1 Septemba 2015

SABABU ZA DE GEA KUTOJIUNGA NA REAL MADRID........




de Gea asalia

David de Gea ameachwa njia panda asubuhi ya leo baada ya kusubiri kwa muda mrefu kuhama kutoka Manchester United kwenda Real Madrid kufuatia baadhi ya ‘documents’ kushindwa kufika kwenye makao makuu ya bodi ya usajili ya Hispania wakati vilabu hivyo vikijaribu kufanya uhamisho wa mlinda mlango huyo usiku wa manane hadi dirisha la usajili kufungwa nchini Hispania.
De Gea alikuwa akiamni kwamba, ndoto zake zimetimia za kuhamia Madrid kufuatia miamba hiyo ya La Liga kuvunja ukimya na kuikatia Man U kitita cha pauni milioni 29 jana (Jumatatu) mchana.

 Golikipa wa Madrid Keylor Navas pia alikuwa sehemu ya dili hilo ambapo angejiunga na Manchester kama sehemu ya usajilin wa De Gea.
  • Chanzo kutoka Real Madri kinasema kwamba, Madrid wanailaumu Manchester United kwa kushindwa kutuma doments sahihi kwenda LFP shirikisho la soka la Hispania jana usiku.

  • United wamekanusha madai hayo wakisema kuwa, walipata uhakika kuwa document zao zimetumwa kwa wakati muafaka unaotambuliwa na FIFA.

  • Uongozi wa LFP unasema United walizijaza document hizo kwa mfumo ambao mtu mwingine asingeweza kuzifungua. 

  • Klabu zote zinataka dili hilo likamilishwe na zinatarajia leo (Jumanne) kukata rufaa kwenye shirikisho la soka duniani FIFA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox