STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 1 Septemba 2015

SONG RASMI KUDUMU WEST HAM UNITED....





2BDDDE9E00000578-3217951-image-m-58_1441096879912

 West Ham United imefanikiwa kumrudisha kiungo wa kimataifa wa Cameroon aliyekuwa katika klabu ya FC Barcelona ya Hispania Alex Song, West Ham wanamrudisha kiungo huyo baada ya kuitumikia kwa mkopo timu hiyo msimu uliyomalizika.

2BDDDF2600000578-3217951-image-a-61_1441096924440

Song amerudi tena kwa mkopo wa muda mrefu katika klabu hiyo akitokea FC Barcelona ya Hispania ili aweze kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara kama ilivyokuwa wakati yupo Arsenal, kwani Song amekuwa hapati nafasi ya kucheza katika kikosi cha FC Barcelona

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox