STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 1 Septemba 2015

Baada ya kumkosa John Stones, Chelsea yamsajili beki huyu wa Senegal kutokea Ufaransa

Klabu ya Chelsea ya Uingereza ambayo kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikituma ofa zaidi ya tatu za kuomba kumsajili beki wa klabu ya Everton ya Uingereza John Stonesbila mafanikio, Septemba 1 imekamilisha mpango wa kumsajili beki wa kimataifa waSenegal aliyekuwa anakipiga katika klabu ya FC Nantes ya Ufaransa Papy Djilobodji.
che
Kwa mujibu wa mtandao wa telegraph Papy Djilobodji mwenye umri wa miaka 26 amesaini mkataba wa miaka minne kuitumikia Chelsea kwa ada ya uhamisho ya pound milioni 2.7. Papy Djilobodji alijiunga na FC Nantes mwaka 2010 akitokea klabu ya US Sénart-Moissy, hata hivyo huyu ndio anatajwa kuwa mbadala wa John Stones.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox