STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 16 Agosti 2015

HII BALAA DJOKOVIC ADAI KUNA MTU ANAVUTA BANGI ............


Mchezaji nambari moja duniani kwa upande wa Tenisi Novak Djokovic jana alilalama kwa msimamizi wa mchezo kwamba alikuwa akinusa harufu ya bangi katika ukumbi wa mechi ya kombe la Rodgers aliomshinda Jemery Chardy.

Baada ya kushinda seti ya kwanza ,raia huyo wa Serbia alimfuata msimamizi wa mechi hiyo na kusema kuwa, ''Kuna mtu anavuta bangi ,naweza kunusa harufu yake na nasikia kizunguzungu''.

After winning the first set in Canada, the World No 1 approached the chair to complain about the smell
Baadaye Djokovic aliwaambia maripota:''Huwezi kuamini ilivyokuwa ikiniathiri,yeyote ambaye alikuwa akivuta,natumai hatarudi tena kesho,nadhani amejificha katika mbingu ya saba''.

Djokovic alisema kuwa alinusa harufu hiyo wakati wa mechi yake ya wachezaji wawili kila upande na mwenzake Janko Tipsarevic siku ya ijumaa.


''Jana nilinusa katika mechi ya wachezaji wawili kila upande ,leo tena. Lazima kuna mtu ambaye anajivinjari katika ukumbi huu” alisema.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox