STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 17 Agosti 2015

BENITEZ AMTAKA BENZEMA KUFUNGA MABAO 25 MSIMU HUU.

MENEJA wa Real Madrid, Rafa Benitez anataka mshambuliaji wake Karim Benzema kufunga walau mabao 20 msimu huu. 

Nyota huyo wa kimataifa wa Ufaransa, amekuwa akihusishwa na tetesi za kwenda Arsenal katika wiki za karibuni huku meneja wa timu hiyo Arsenal Wenger akiwa na matumaini ya kumsajili kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili wa kiangazi mwishoni mwa mwezi huu. 

Benzema amefunga mabao 22 katika mashindano yote msimu uliopita lakini benitez anadhani nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 anaweza kufanya zaidi katika msimu huu wa 2015-2016. 

Akihojiwa Benitez amesema Benzema ni mchezaji mkubwa na moja ya malengo aliyonayo juu yake ni kumtaka ajitahidi kufunga mabao zaidi kati ya 20 mpaka 25 ana uhakika hilo liko ndani uwezo wake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox