STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 17 Agosti 2015

SOMA ALICHOSEMA RAMOS BAADA YA KUANGUKA MKATABA MPYA REAL MADRID....


"Sikuwahi kutaka kuondoka" asema Ramos


Beki wa Real Madrid Sergio Ramos amesema hakuwahi kutaka kuondoka Bernabeu, licha ya taarifa kadhaa kumhusisha kuhamia Manchester United. 


Ramos, ambaye amesaini mkataba wa miaka mitano amesema: "Wazo langu lilikuwa kubakia hapa na kustaafu hapa kama rais angeruhusu hilo, ninashukuru sasa nina changamoto mpya ya kuwa nahodha wa timu hii.
"Sikuwahi kusema nataka kuondoka, nilikuwa kimya. Sikusema chochote kutokana na kuheshimu wachezaji wenzangu na rais, sikuwahi kupiga simu kwenye ofisi yetu na kutaka fedha zaidi."
Sergio Ramos speaks to the press after signing a new five-year contract extension at Real Madrid 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox