STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 21 Agosti 2015

KIVUMBI CHA LA-LIGA KUTIMKA LEO.......


Lihi kuu nchini Uhispania LA-LIGA  itafunguliwa rasmi  siku ya leo kwa mchezo mmoja utakao chezwa Dimba la La Rosaleda kwa wenyeji Malaga kuwakaribisha Sevilla
 
Tayari timu hizo zimekutana mara 30 katika michuano mbalimbali ikiwemo La Liga na Copa del Rey na inaonekana zimekuwa na ushindani wa juu kabisa.
Sevilla imeshinda mara 11 wakati Malaga imeshinda mara 12 na zimetoka sare 7, huku wastani wa mabao yao ya kufunga na kufungwa ukiwa sawa kabisa.

 Msimu uliopita, kila timu ikiwa imecheza mechi zake 38 kwa timu zote 20, Sevilla ilikwama katika nafasi ya 5 ikiwa na pointi 76 huku Malaga ikiishia katika nafasi ya 9 ikiwa na pointi 50 tu.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya 19:30






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox