STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 20 Agosti 2015

WAKALA JORGE MENDES YUPO MANCHESTER KWA AJILI YA USAJILI WA DE GEA......

mendes

Wakala maarufu kabisa kwenye biashara ya kuuza na kununua wachezaji Jorge Mendes hivi sasa inaripitiwa kwamba yupo Manchester kwa ajili ya mipango ya kukamilisha mpango wa usajili wa kipa David De Gea.

Mendes ana umaarufu wa kukamilisha madili ya uhamisho ambao unawafaidisha sana wateja wake. Huyu jamaa ni mkali kwenye kazi yake kama alivyo bwana Ed Woodward akiwa na Manchester.


Katika kipindi hiki kilichobaki cha usajili tuendelee kusubili kama kweli Real Madrid watafanikiwa kumsajili kipa David De Gea ikiwa wakala wake Mendes ameenda sehemu alipo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox