STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 14 Septemba 2015

DJOKOVIC AMCHAPA FEDERER NA KUTWAA US OPEN.........

Roger Federer ameshindwa kuzuia mafuriko ya mpinzani wake mkubwa Novak Djokovic, aliyemshinda na kupenda ubingwa wa US Open.


Djokovic raia wa Serbia alifanikiwa kushinda katika mechi hiyo ya fainali kwa jumla ya seti 3-1 akimtandika kwa pointi  6-4, 5-7, 6-4, 6-4 .

RAUNDI YA KWANZA:
 – alimshinda Joao Souza, 6-1 6-1 6-1

RAUNDI YA PILI:
- alimshinda Andreas Haider-Maurer, 6-4 6-1 6-2

RAUNDI YA TATU:
alimshinda Andreas Seppi (25), 6-3 7-5 7-5

RAUNDI YA NNE:
alimshinda Roberto Bautista Agut (23), 6-3 4-6 6-4 6-3

ROBO FAINALI:
alimshinda Feliciano Lopez (18), 6-1 3-6 6-3 7-6 (2)

NUSU FAINALI:
 -alimshinda Marin Cilic (9), 6-0, 6-1, 6-2














Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox