STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 14 Septemba 2015

INTER MILAN YAICHAMBANGA AC MILAN.......

Substitute Mario Balotelli twice came close for AC Milan with some sublime long-range efforts

TIMU ya Inter Milan imewafunga mahasimu AC Milan 1-0 na kupanda kileleni mwa Serie A jana, huku mshambuliaji Mario Balotelli akikosa mabao ya wazi baada ya kutokea benchi kucheza dhidi ya timu yake ya zamani, The Rossoneri.
Fredy Guarin alisherehekea mechi yake ya 100 ya ligi kwa kufunga bao pekee la ushindi dakika ya 58 baada ya kupoteza nafasi kadhaa. 

The 29-year-old wheeled away and revealed a message on his undergarment after his 58th minute strike

Balotelli, ambaye ambaye amerejea Milan kwa mkopo kutoka Liverpool mwezi uliopita aligongesha mwamba na baadaye akakaribia kufunga kwa mpira wa adhabu, kabla ya kuzinguana na Filipe Melo wa Inter.


Balotelli (left) was embroiled in a brief spat with Inter's Brazilian central midfielder, Felipe Melo
Balotelli alianzia Inter kabla ya kuhamia Manchester City mwaka 2010 na jana alitokea benchi kwenda kucheza dhidi ya timu iliyomuibua ambayo mashabiki wake walimzomea jana.

Kikosi cha Inter Milan kilikuwa; Handanovic, Santon, Medel, Murillo, Nunes Jesus/Telles dk68, Guarin, Felipe Melo, Kondogbia, Perisic/Ranocchia dk85, Icardi na Jovetic/Palacio dk72.AC's Luiz Adriano (centre), who signed from Shakhtar Donetsk in July, failed to convert in the first-half


Ac Milan; Lopez, Abate, Zapata, Romagnoli, De Sciglio, Kucka/Poli dk72, Montolivo, Bonaventura, Honda/Cerci dk81, Luiz Adriano na Bacca/Balotelli dk62.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox