Jina la José Mourinho ni miongoni mwa majina yenye ushawishi mkubwa sana kwa upande wa soka duniania.
Amekua kocha mwenye mafanikio makubwa katika timu mbalimbali alizowahi kufundisha ikiwemo Chelsea ambayo anaifundisha kwa sasa na ikiwa imechukua ubingwa wa EPL.
Mourinho pamoja na muda wake mwingi kuutumia katika soka lakini pia ni baba wa watoto wawili na muda mwingine anaoupata huutumia na familia yake…
Aliingia kwenye kashfa ya kuwa na uhusiano na msichana kutoka Kenya ,Lelesit Silvana baada ya kutembelea nchi hiyo 2010
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni