STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 5 Septemba 2015

ITALY KUANZISHA KADI YA KIJANI KWENYE LIGI YAO.............


Capture

Kadi nyekundu na njano kazi yake kutoa adhabu na onyo baada ya mchezaji kutenda madhambi ndani ya mchezo.

 Sasa nchini Italy refa atakua anabeba kadi tatu hivi sasa ambazo ni nyekundu, njano na nyekundu.

Tofauti na kadi nyekundu na njano, kadi ya kijani kazi yake itakua ni kwa ajili kitu positive. Kazi yake kubwa ni kwa ajili ya kumpa kama kum-reward mchezaji pale anapofanya kitendo cha fair play.

Kadi hiyo itaanza kwanza kutumika kwenye Serie B kabla ya kuja Serie A. 

Mpango huu wa kuanzisha kadi ya kijani ni njia moja wapo ya kutekeleza agizo la UEFa kwamba nchi mbalimbali zi-promote fair play.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox