STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 7 Septemba 2015

LICHA YA KUTOSWA KATIKA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA BALOTELLI AZIDI KUJIACHIA TU........


Mshambuliaji wa Liverpool aliyejiunga na AC Milan kwa mkopo Mario Balotelli, ameendelea kufurahia maisha ya kurejea katika klabu ya AC Milan baada ya kuondoka klabuni hapo kwa msimu mmoja, Balotelli akiwa na rafiki yake Antony Uberti walipiga picha wakiwa katika helicopter.

2C06E53F00000578-0-image-a-31_1441561404567
Mario Balotelli na rafiki yake Antony Uberti

Baada ya kumaliza msimu bila mafanikio na klabu ya Liverpool, Balotelli hakuwa sehemu ya kikosi cha Italia kinachonolewa na kocha Antonio Conte katika mechi dhidi ya Bulgaria iliyochezwa Septemba 6 na Italia kuibuka na ushindi wa goli 1-0.

2C06E56B00000578-0-image-a-30_1441561398566
Awali kocha wa klabu ya AC Milan ya Italia Sinisa Mihajlovic aliwahi kunukuliwa na vyombo vya habari kuwa Balotelli ameongezeka uzito, Balotelli pamoja na rafiki yake Antony Uberti walipiga picha katika pozi tofauti tofauti wakiwa milimani, hii ikiwa ni sehemu ya mapumziko ya mechi za kimataifa.
2C06E54400000578-0-image-a-29_1441561377894

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox