STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 9 Novemba 2015

NIGERIA KAMA KAWAIDA WAENDELEZA REKODI YAO BORA KOMBE LA DUNIA U17.........


Players of Nigeria celebrate with the trophy after winning the FIFA U-17 World Cup Chile 2015 FinalNigeria wakishangilia ubingwa wao





TIMU ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Nigeria, Golden Eaglets imetwaa ubingwa wa Dunia wa vijana wa umri wa huo baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Mali jana nchini Chile.

Ushindi huo unamaanisha kwamba Nigeria imetetea taji lao ililolitwaa miaka miwili iliyopita Falme za Kiarabu (UAE).

Mabao ya haraka haraka ya kipindi cha pili ya Victor Osimhen na Funsho Bamgboye yalitosha kukihakikishia taji hilo kikosi cha Emmanuel Amuneke, hilo likiwa taji la tano la dunia kwa U17.

Hii ni mara ya kwanza Nigeria wanatwaa taji hilo nje ya Asia, baada ya mataji yao ya awali kubeba China mwaka 1985, Japan mwaka 1993, Jamhuri ya Korea mwaka 2007 na UAE mwaka 2013.





Kelechi Nwakali of Nigeria poses with the adidas Golden Ball
 Kelechi Nwakali,mchezaji bora wa michuano





Kelechi Nwakali (R) of Nigeria poses with the adidas bronze boot and team mate Victor Osimhen of Nigeria poses
 Victor Osimhen kushoto ndie mfungaji bora wa michuano akimaliza kwa kufunga magoli10


Adidas Golden Ball

Adidas Golden Glove

Fair Play Award





MABINGWA WA KOMBE HILI:


Team Titles Runners-up Third-place Fourth-place Medals
 Nigeria 5 (1985, 1993, 2007, 2013, 2015) 3 (1987, 2001, 2009)

8
 Brazil 3 (1997, 1999, 2003) 2 (1995, 2005) 1 (1985) 1 (2011) 6
 Ghana 2 (1991, 1995) 2 (1993, 1997) 1 (1999) 1 (2007) 5
 Mexico 2 (2005, 2011) 1 (2013)
1 (2015) 3
 Soviet Union 1 (1987)


1
 Saudi Arabia 1 (1989)


1
 France 1 (2001)


1
  Switzerland 1 (2009)


1

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox