
Kocha wa taifa stars Charles Boniface Mkwasa amemteua Mbwana Ally Samata kuwa nahosha wa timu ya taifa "Taifa stars" akimpoka linzi wa yanga Nadir Haroub Cannavaro.
Mkwasa amesema kuwa Mbwana atakuwa nahodha wa timu hioy akisaidiwa na Nadir Haroub sambamba na John Bocco, huku Nadir akiwa nahodha wa timu ya taifa kwa chezaji wanaocheza soka la ndani.
Mkwasa maesema nimatumaini yake Mbwana Samata ataisaidia timu ya taifa kufikia malengo yake ndio maana ameamua kuteuwa yeye na kuwa Samata na tabia za uongozi hivyo ataiongoza vyema Taifa stars
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni