STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 10 Januari 2016

COUTINHO WA YANGA BADO WA MOTO SANA, ATUPIA MBILI KWENYE GEMU YAKE YA KWANZA



Kiungo Andrey Coutinho ameanza vizuri kazi yake baada ya kutupia mabao mawili na kuipa timu yake mpya ya Rakhane United ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Souther Mnyamar.

Mechi hiyo ya Ligi Kuu Mnyamar ambayo pia ilikuwa ya kwanza kwa Coutinho tokea ajiunga na timu hiyo akitokea Yanga.


Coutinho alitemwa na Yanga baada ya Kocha Hans van der Pluijm kuonekana kutovutiwa na kiwango chake na kumruhusu aende zake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox