Mmoja kati ya miyamba ya soka
duniani,Lionel Messi,Christiano Ronaldo au Neymar huenda akatawazwa kuwa
mshindi wa tuzo la Ballon d'Or,tuzo linalopewa mchezaji bora duniani.
Kutoka Stanley Matthews aliyeshinda mwaka tuzo hilo mwaka 1956 hadi Christiano Ronaldo mwaka uliopita,washindi wake wameorodheshwa katika kipindi cha miaka 59 iliopita.
Katika miaka ya kombe la dunia asilimia 47 ya washindi wa tuzo hilo waliyasaidia mataifa yao kushinda kombe hilo ikiwemo Bobby Charlton mwaka 1966,Mchezaji wa Ufaransa Zinedine Zidane mwaka 1998 pamoja na nahodha wa timu ya Itali Fabio Cannavaro mwaka 2006.
Ni Asilimia 36 pekee waliosaidia mataifa yao kushinda kombe la bara Ulaya.
USHINDANI WA MESSI NA RONALDO KATIKA TUZO TANGU 2008;
2008: 1st = C. Ronaldo (30.97%), 2nd = L. Messi
(19.51%), 3rd = F. Torres (12.43%)
2009: 1st = Messi (32.85%), 2nd = C. Ronaldo
(16.18%), 3rd = Xavi (11.81%)
2010: 1st = Messi (22.65%), 2nd = A. Iniesta
(17.36%), 3rd = Xavi (16.48%)
2011: 1st = Messi (47.88%), 2nd = C. Ronaldo
(21.60%), 3rd = Xavi (9.23%)
2012: 1st = Messi (41.60%), 2nd = C. Ronaldo
(23.68%), 3rd = A. Iniesta (10.91%)
2013: 1st = C. Ronaldo (27.99%), 2nd = L. Messi
(24.72%), 3rd = F. Ribery (23.36%)
2014: 1st = C. Ronaldo (37.66%), 2nd = L. Messi
(15.76%), 3rd = M. Neuer (15.72%)
2015:..................................
KWA UPANDE WA MAKOCHA KWA WANAUME

TUZO NYINGINE USIKU WA LEO :

2015:..................................
KWA UPANDE WA MAKOCHA KWA WANAUME
WANAOSHINDANA:
Pep GUARDIOLA
LUIS ENRIQUE
Jorge SAMPAOLI
TUZO NYINGINE USIKU WA LEO :
KWA UPANDE WA WANAWAKE
Carli LLOYD WA USA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni