STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 2 Januari 2016

IKO HAPA RATIBA YA KOMBE LA MAPINDUZI LITAKALOANZA KUTIMUA VUMBI KESHO KULE ZANZIBAR



      RATIBA YA KOMBE LA MAPINDUZI 2016 ZANZIBAR.

 
Mashabiki mbalimbali wakiwa wamekaa mkao wa kula sasa Mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanatarajia kuanza kutimua vumbi siku ya kesho katika Uwanja wa Amani visiwani Zanzibar.
Mechi kubwa za ufunguzi katika mashindano hayo zitazikutanisha klabu ya soka ya wanajangwani Yanga dhidi Mafunzo, wakati Mtibwa watavaana na Azam.
Klabu ya soka ya Simba yenyewe ikiwa katika hali ya furaha kabisa baada ya ushindi wa jana baada ya kuwatandika Ndanda bao 1-0 watakuwa katika dimba siku ya jumatatu wakikutana na timu ya Jamuhuri huku URA wakikutana na JKU.
Michuano hiyo ina makundi mawili pekee ambapo kundi A lina timu za Simba,Jamhuri, JKU na URA na kundi B lina Yanga, Mtibwa, Azam na Mafunzo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox