STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 3 Januari 2016

WAKATI NI WAKO KUCHAGUA DETAILS KALI YA 2015.................

 Tokeo la picha la sports
 Tokeo la picha la details

Ukiwa ni msikilizaji mzuri wa kipengele cha michezo kinacho fahamika kama ''SPORTS DETAILS'' ambacho huwa kinakujia kupitia kipindi cha michezo cha ''PLANET  SPORTS''  kupitia ''PLANET FM-87.9'' mkoani Morogoro unaombwa kuchagua Details kali tano za mwaka 2015 kati ya kumi na tano zilizoteuliwa kuingia katika kinyang'anyiro.
Tokeo la picha la sports
Lakini pia audio hizo za kimichezo zimekuwa zikisambazwa katika makundi na watu mbalimbali katika mtandao wa kijamii "WHATSUP" hivyo na wewe mdau ambae huwa unazipata audio hizi unayo fursa ya kuchagua Details kali tano za mwaka 2015 kupitia namba hii ya Whats up-0629-791599 au ujumbe wa kawaida kupitia 0712-587109.


Tokeo la picha la sports
Kumbuka audio hizo za kimichezo huandaliwa na mchambuzi bora kabisa Mr'Choi ambae amesema kuwa wadau wote wakae mkao wa kula kwani mwaka 2016 utakuwa na Details nyingi za kimichezo zenye ubora na radha ya kipekee. 


Details nzuri zipo nyingi sana lakini hizi ndizo ambazo utatakiwa kuchagua tano bora .

 Tokeo la picha la details
 .DETAILS 124-INAHUSU FAINAL ZA VILABU BINGWA DUNIANI KUMBUKUMBU YA BARCELONA.
DETAILS 123- INAHUSU KUTIMULIWA KWA MOURINHO.
DETAILS 121-TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI HISPANIA.
DETAILS 120-INAYOHUSU REKODI ZA KOMBE LA DUNIA NGAZI YA VILABU.
DETAILS 118-INAYOMUHUSU DAVID VILLA.
DETAILS 117-INAYOMUSU KOBE BRANT.
DETAILS 116-INAYOHUSU HISTORIA YA KUANZSHWA BARCELONA.
DETAILS 108- INAYOMUSU MARADONA.
DETAILS 111- INAYOMUHUSU FERGUSON.
DETAILS 112- MAHOJIANO NA C.RONALDO
DETAILS 114 A & B- EL CLASSICO 
DETAILS- INAYOMUHUSU PELLE.
DETAILS 115- "THE CLASSIC" USHINDI WA BARCELONA KATIKA EL CLASSICO.
DETAILS-INAYOMUHUSU SIR BOB CHARLTON.
DETAILS-INAYOHUSU UBINGWA WA UEFA WA BARCELONA AMBAPO MR'CHOI ALIIMBA WIMBO WA BARCELONA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox