STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 2 Januari 2016

MAGAZETI YA LEO ULAYA YALICHOANDIKA KUHUSU USAJILI, GUARDIOLA KUIBOMOA MAN, WACHEZAJI WAMTAJA KOCHA WANAYEMTAKA OLD TRAFFORD

Guardiola eyes Herrera for Man City

Pep Guardiola amemuorodhesha kiungo wa Manchester United  Ander Herrera kwenye list ya wachezaji wapya ambao huenda akafanyanao kazi kwenye timu ya Manchester City ambayo anajiandaa kwenda kuchukua mikoba ya Manuele Pellegrin.
Source: Don Balon
Friday, January 1, 2016 13:20

Man Utd players expect Simeone

Baadhi ya Wachezaji wa Manchester United wanataka kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone akafundishe timu hiyo endapo kocha wao wa sasa Louis van Gaal akiondoka kwenye timu hiyo.
Source: The Sun
Friday, January 1, 2016 13:24

Klopp wants Kroos at Liverpool

Jurgen Klopp amewashauri Liverpool wafanye kila wawezalo ili kumsajili kiungo wa Real Madrid Toni Kroos kwenye kipindi hiki cha usajili baada ya mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Germany kushindwa kupata nafasi chini ya Rafa Benitez.
Source: Fichajes.net
Friday, January 1, 2016 13:09


Juve ready to raise Gundogan bid

Juventus wapo tayari kuongeza dau la paundi milioni 30 kwa lengo la kumsajili kiungo wa Ilkay Gundogan wa Borussia Dortmund.
Source: Gazzetta dello Sport
Saturday, January 2, 2016 11:00

Van Gaal wants Januzaj back

Kocha wa Manchester United Louis van Gaal yupo kwenye mpango wa kusitisha mkataba wa muda mfupi kwa  Adnan Januzaj aliyemtoa kwa mkopo kwenye timu ya Borussia Dortmund na kumrejesha Old Trafford ili kuongeza nguvu kikosini.
Source: The Sun
Saturday, January 2, 2016 00:26

Isco wants Man City move

Kiungo waReal Madrid Isco anataka kuondoka Santiago Bernabeu na kwenda kujiunga na timu ya Manchester City, iliyochini ya kocha Manuel Pellegrini, aliyeibua kipaji chake alipokuwa akiifundisha timu ya Malaga.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox