STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 25 Juni 2014

SUAREZ APATA TUZO YA KUNG'ATA WENZAKE



Watu wana utani wao kwamba Luis Suarez wa Uruguay alipaswa kupewa tuzo ya kung’ata wenzake.

Maana aliwahi kufanya hivyo akiwa anakipiga Ajax ya Uholanzi, lakini akarudia kwenye Ligi Kuu England baada ya kumng'ata Blanslav Ivanovic wa Chelsea.
Lakini jana amevunja rekodi kabisa baada ya kumuuma Chiellin, beki wa Italia.
Sasa Suarez ni mtu ambaye amefikia uwezo wa juu kabisa katika kuuma wenzake.
Tuzo kwenye picha ni ya kubuni lakini ni kumkejeli Suarez kutokana na tabia ya kung’ata wenzake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox