Sergi Guardiola wa pili kushotoKiungo Sergi Guardiola mwenye miaka 24 amekumbwa na mkosi pale alipokuwa anasajiliwa kuichezea Fc Barcelona kutokana na posti yake katika akaunti yake ya Twita.
Siku
ya Jumatatu mchezaji huyo mwenye asili ya Hispania alitakiwa kusajiliwa
kuitumikia Barcelona B lakini kutokana na kuposti katika akaunti ya
Twita miaka miwili iliyopita {2013} kuishabikia Real Madrid kumefanya
ashindwe kusajiliwa na kuonekana ni adui wa Catalan
Mchezaji huyo alipohojiwa na moja ya chombo cha habari Hispania alisema ''ujumbe huo ulitumwa na
rafiki yake ambae alitumia akaunti yake"


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni