Kinga: Mshambuliaji wa Brazil, Neymar akienda kuoegelea huku amevaa kitu cha kuzuia mgomgo wake alioumia
MSHAMBULIAJI
wa Brazil, Neymar amepona maumivu ya mgomgo aliyoyapata kwenye Kombe la
Dunia na nyota huyo wa Barcelona amekwenda kula bata na mpenzi wake
Bruna Marquezine nchini Hispania.
Wapendanao hap walikuwa wakifuarahia maisha katika fukwe za Ibiza huku Neymar - amefunga kitu cha kuuzuia mgongo wake.
Neymar alikosa mechi mbili za mwisho za nchi yake baada ya kuumia mgongo katika Robo Fainali dhidi ya Colombia.

Neymar akipoga gumzo na mpenzi wake Bruna Marquezine huko Ibiza

Neymar na mpenzi wake Ibiza

Mashabiki wakiwa wamemzunguka Neymar ili kupoiga naye picha


Bruna kwa raha zake katika fukwe za Ibiza

Neymar na washirika wake wakiwa kwenye boti

Wapenzi hao wakichezea maji

Neymar akiruka kushuka kwenye boti
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni