Barcelona imefanikiwa kumsainisha nahodha wa Arsenal,
Thomas Vermaelen kwa kitita cha pauni milioni 15.
Vermaelen
anatua Barcelona kwa mkataba wa miaka mitano na kupitia mtadao wa Twitter,
Barcelona imthibitisha kuwa amefuzu vipimo vya afya.
Vermaelen takuwa akilamba pauni 80,000 kwa
wiki mara baada ya kutua Barcelona.
Awali Man United ilimtaka kwa juhudi, lakini
Arsenal ikagoma kumuuza kwenye timu za Ligi Kuu.
Lakini kuna taarifa sasa kuwa Arsenal
inamhitaji Cris Smalling ili aongeze nguvu kwenye ulinzi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni