STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 7 Agosti 2014

BAADA YA HOWARD WEBB KUTANGAZA KUSTAAFU, MASHABIKI PINZANI WAENDELEA KUTANIA, CHEKI MIPICHA KIBAO .........

United fan: Many rival football fans have accused Howard Webb of supporting Man United over the years
Shabiki wa United: Mashabiki wengi wa timu pinzani kwa miaka mingi wamekuwa wakimtuhumu Howard Webb kuibeba Man United.

REFA maarufu nchini England, Howard Webb amestaafu kuchezesha soka baada ya kupuliza kipyenga kwa miaka 25.
Kocha huyo raia wa England sasa ameteuliwa kuwa mkurugenzi wa ufundi wa taasisi ya marefa ya (PGMOL).
Webb ni kocha mwenye heshimu kubwa nchini England na amechezesha zaidi ya mechi 500 za ligi kuu na makombe mengine.
Pia amechezesha fainali mbili za kombe la dunia, fainali mbili za kombe la Ulaya na ligi ya mabingwa (UEFA).
Hata hivyo kwa miaka mingi aliyochezesha mpira, amekuwa akituhumiwa kuibeba Manchester United kwa maamuzi yake.
Hapa chini ni baadhi ya picha za utani zilizopostiwa kwenye mitandao baada ya tangazo la Webb.
Good luck: Manchester City posted on their Twitter account a cheeky good luck message to Webb
Kila la kheri: Manchester City waliposti picha kwenye akaunti yao ya mtandao wa Twita wakimtakia kila la kheri Webb katika kazi yake mpya 
Advantage? Howard Webb has been targeted online for apparently favoring Manchester United in matches
Faida? Howard Webb amekuwa akituhumiwa katika mitandao kuwa kwa muda mrefu amekuwa akiibeba Manchester United katika mechi zake.
Celebrations: Manchester United have enjoyed a lot of success during Webb's reign as a referee
Shangwe: Manchester United wamepata mafaniko makubwa wakati wa uchezeshaji wa Webb
What a picture: Sir Alex Ferguson was very vocal with referees when manager at Manchester United
 Sir Alex Ferguson alikuwa rafiki wa Marefa wakati akiwa kocha Manchester United
Statue: An image indicates Howard Webb has been as influential as Sir Alex Ferguson in United's success
Sanamu: Picha hii inaonesha kuwa Howard Webb amekuwa sehemu ya mafanikio makubwa aliyoyapata Sir Alex Ferguson katika klabu ya Man United.
Devastating: Rival fans to Manchester United continue to mock the significance of Howard Webb's retirement
Mashabiki pinzani na Manchester United wameendelea kutania baada ya kustaafu wa Howard Webb
New signing: Don't worry this is a fake! But a host of football fans believe Webb supported Manchester United
Usajili mpya: Usijali, hii ni picha feki! lakini mashabiki wengi wanaamini Webb alikuwa anaibeba Man United
Unfair? Man United have the second best record under Webb but this is over a larger amount of games
Sio haki? Man United imekuwa klabu ya pili kushinda mechi nyingi katika uchezesheshaji wa Webb.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox