TIMU
ya hadhi ya chini iliyobaki katika Kombe la Ligi, Shrewsbury Town,
itamenyana na timu ya Ligi Kuu ya England, Chelsea katika raundi ya Nne
ya michuano hiyo.
Timu
hiyo ya Daraja la Pili, Shrews, ambayo imeitoa Norwich ya Daraja la
Kwanza katika raundi iliyoalizika usiku huu, itakuwa mwenyeji wa The
Blues iliyoichapa 2-1 Bolton usiku wa Jumatano.
Frank Lampard akisherehekea bao lake la tatu katika mechi mbili baada ya jana kufungwa mawili dhidi ya Sheffield Wednesday
RATIBA RAUNDI YA NNE KOMBE LA LIGI ENGLAND...
Tottenham Hotspur vs Brighton
Stoke vs Southampton
Bournemouth vs West Brom
Shrewsbury vs Chelsea
Liverpool vs Swansea
MK Dons vs Sheffield United
Manchester City vs Newcastle United
(Mechi zitachezwa wikiendi ya Oktoba 27, 2014
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni